#peopleareawesome, Gumzo Mitaani

HATIA YA U’HASLA’

Hii ni risto ya bazenga anaitwa 'hasla'. Manzee lyfe imemkulia vako design moja mbaya sana. Na huyu si hustler yule wanasiasa wanadai... Hajamdhulumu yeyote... Hajamperemba msee yeyote... Hajaleta risto za ovyo na kuenjoy wasee na uwongo... Huyu ni msee amekulia rough jo! Tangu kuzaliwa kwake, amejua kuwa lyfe haina huruma hata kama mtaa wake unaitwa… Continue reading HATIA YA U’HASLA’

#peopleareawesome, Gumzo Mitaani

‘MOSHI WA MANYASI’

Asema Sahibu: Walikuwa jamaa wawili ambao watu wa Nairobi watawaita 'wasee'... Hawa jamaa walikuwa wamevuta 'moshi wa manyasi' fulani wakitia stori maskani... Walipohisi kuboeka, wakanong'onezeana kurudi zao mtaani... Lakini njia ya mtaani haikuwa tambarare... Wakitembea walikuwa wausikia 'moshi wa manyasi' ukiwanong'onezea akilini... Wakaingia mori na jadhba... Wakatia bidii wakitembea kwa mbio... "Jamaa tuharakishe au tutachelewa",… Continue reading ‘MOSHI WA MANYASI’

#peopleareawesome, Gumzo Mitaani

MKIRITIMBA

Asema Sahibu: Mkiritimba mmoja kasimama mbele ya vijana kijijini ndoo ikiwa mbele yake na huku kando akiwa amewekelea mawe makubwa, changarawe, mchanga na maji. Basi akawauliza wale vijana, "Je, mwaamini ya kuwa naweza jaza ndoo hii na vitu hivi vyote?" "La hasha...havitatoshea bwana..." walijibu vijana wa kijiji. Wakati huo, mkusanyiko ulikuwa wazidi kufura... Wengi walimjua… Continue reading MKIRITIMBA